[emoji106]Na pipi za kumung’unya
[emoji818][emoji818]Waonjaji wa ice cream za bei ghali hutumia vijiko vya dhahabu ili kuhakikisha hawachanganyi ladha kutoka ice cream moja hadi nyingine.
Duh!!Je unafahamu kuwa kuna aina ya dhahabu inayoweza kuliwa? Ipo aina ya dhahabu laini ambayo inaweza kuliwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii code nimeinyaka aisee eti mfuasi wa shetani dah! Mmekumbuka manyoka nyoka
Katika tani moja ya simu za mkononi unaweza kupata dhahabu nyingi zaidi kuliko ambayo ungeipata kutoka kwenye gwangala la dhahabu (gold ore).