Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
[emoji16][emoji23][emoji23]Asanteni nimepata tayari likes si xhini ya 10
Ubinadamu kazi [emoji23][emoji23]Mwanasiasa wa Kirumi Gaius gracchus, kichwa chake kilihitajika kwa malipo ya dhahabu sawa na uzito wake. Hivyo atakayemuua na kupeleka kichwa chake angepewa dhahabu sawa na uzito wa kichwa hicho. Hata hivyo dhahabu hii haikulipwa kwa mtekaji kwa sababu alikijaza kichwa hicho madini ya risasi ili kiwe kizito zaidi.
sijaelewa madame fyekero (nimepita thread ya madrid kuna mdau amedai una mafyekero 100 π π π π )Waonjaji wa ice cream za bei ghali hutumia vijiko vya dhahabu ili kuhakikisha hawachanganyi ladha kutoka ice cream moja hadi nyingine.
So unaamini mie ni nifah? Huu utani wa madame fekero sijaupenda maana hata ID ya numby ni fekero ujuesijaelewa madame fyekero (nimepita thread ya madrid kuna mdau amedai una mafyekero 100 π π π π )
hivyo vijiko vya dhahabu vina sifa ya ulimi kama vina uwezo wa kujua ladha ya ice cream tofauti?
π π πSo unaamini mie ni nifah? Huu utani wa madame fekero sijaupenda maana hata ID ya numby ni fekero ujue
Nimesahau ila nakumbuka 500k ni mie nilipata hadi zawadi ya vocha toka kwa uniq, 800k na 900k mie
Sauwa. Maana humu nikiikubali hii nickname mpya ntaibuliwa Mi ID ya ajabu ajabu kuprove huu ufekeroπ π π
jamaaa amechanganyikiwa na vipigo vya madrid msimu huu, itakuwa ana hasira si anafahamu upo timu CR7.
mimi mwenyewe nimecheka kwa sababu muandiko wenu haufanani kabisa, michango yako kwenye majukwaa hulingani na mwanadada yule kwa sababu upo huru zaidi.
ok naomba radhi.
Hahahahahaha na inaweza tokea hivyo. Kawaida wengi wanasubiriaga muda huo tu. Mfano huyu cocochannel jana kaja kasema anaisubiria hio chance kwa hamu na ana mbio sana na spidi ya kupost hata vinuktaNaam kutakuwa na mbio za kufa mtu mie sitapenda kabisa aipate mtu ambaye si mchangiaji wa uzi huu.