D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
kuna mashindano gani humu ndani mbona sielewi?Hahahahahaha na inaweza tokea hivyo. Kawaida wengi wanasubiriaga muda huo tu. Mfano huyu cocochannel jana kaja kasema anaisubiria hio chance kwa hamu na ana mbio sana na spidi ya kupost hata vinukta
Ukiwah roho inasuuzika unajisikia amani na furaha. Hakuna zawadi labda atokee mtu kuahidi hio zawadi. Ni ushindan tuUkishawahi inakuwaje? kuna zawadi? au ushindani tu?
[emoji16][emoji16][emoji16] no not serious its just funnyjamii forum wanapaswa kuweka kigezo cha umri kuanzia sasa, waweke sehemu ya kuscan picha ya cheti chako cha kuzaliwa kama unaomba mkopo bodi
jamaa ameanzisha thread anahitaji ushauri.
View attachment 1105257
Ushindani wa?Ukiwah roho inasuuzika unajisikia amani na furaha. Hakuna zawadi labda atokee mtu kuahidi hio zawadi. Ni ushindan tu
Ndio ya kuwahi post ya million.saiv tupo post 952,447 ikifika 999000 mambo yakatua fayaaaakuna mashindano gani humu ndani mbona sielewi?
Dogo kwako ni funny ila kwa wakubwa hata unavyonajisi kibinti cha miaka 12 sio funny
Ndio ya kuwahi post ya million.saiv tupo post 952,447 ikifika 999000 mambo yakatua fayaaaa
Duh si tutatolewa uanonymous sasa. Ila tuwavumilie tu form six wapo mitaan kwa sasajamii forum wanapaswa kuweka kigezo cha umri kuanzia sasa, waweke sehemu ya kuscan picha ya cheti chako cha kuzaliwa kama unaomba mkopo bodi
jamaa ameanzisha thread anahitaji ushauri.
View attachment 1105257
Hahaha duh mpo wengiUmenikumbusha jamani
Kweli siku zinakimbia eeeeeh
Nipo navizia kwa mbali kudaka # 1,000,000😁