Kwa msaada wa watu wa marekanibeberu aliyebeberua:
View attachment 1105351
Viatu ngozi originalnimeikuta fb: sijafanya uhakiki wa taarifa
Bi Vicky Swai mwaka 1995 akimkabidhi Nelson Mandela viatu vyake alivyoviacha jijini Dar es salaam mwaka 1962 nyumbani kwa Nsilo Swai,viatu hivi aliviacha alipokuwa akielekea Ethiopia lakini wakati wa kurudi hakupitia tena DSM na alipofika nchini kwake alihumukumiwa kifungo cha maisha ambapo alikitumikia kwa miaka 27 mpaka 1990.
Kuna watu watunzaji bhana,Siyo wewe na mimi hatuna hata kumbukumbu ya madaftari tuliyoyasome
View attachment 1105344
TrueMara nyingine wale wenye mwanzo mbaya ndio wanaoufikia mwisho mzuri.
Wownimecheka kwanza (nimeikuta fb na sijafanya uhakiki wowote wa taarifa)
Qajar pichani binti wa mfalme wa Uajemi alikuwa ndiye msichana mrembo kuliko wote maeneo ya Uajemi miaka ya 1900. Mamia ya wanaume waliomfuata aliwakataa na inasemekana wanaume 13 walijiua baada ya kukataliwa na Qajar.
View attachment 1105339
kwa wazee wa dona country haepukiki, huwezi kuwa mzee kama hujabaleghe bwanaaaa.Kwa msaada wa watu wa marekani
Mbona kazuri tu just chubby.. kameshiba maanjumati ya royal palace..🙁 🙁 nadhani kuna nguvu ya bwana mfalme ilikuwa inatumika kumfanya binti awe mrembo wa taifa
Kipi kikuchekeshacho?nimecheka kwanza (nimeikuta fb na sijafanya uhakiki wowote wa taarifa)
Qajar pichani binti wa mfalme wa Uajemi alikuwa ndiye msichana mrembo kuliko wote maeneo ya Uajemi miaka ya 1900. Mamia ya wanaume waliomfuata aliwakataa na inasemekana wanaume 13 walijiua baada ya kukataliwa na Qajar.
View attachment 1105339
Ni kitu kimoja!Ni vitu viwili tofauti
🥇 🥇 🥇Mbona kazuri tu just chubby.. kameshiba maanjumati ya royal palace..
Au ana miguu ya ndovu?
Nakupenda/nakukubali fragariaNi kitu kimoja!
I like you smokey
I thank you Smokey..
See?
Watu wamepinda wengi tu humu! wamepata mahali pa kutolea ujinga wao!Huyo jamaa nyuzi zake za ajabu ajabu ajabu sana yani nyingi zinaanza na "Huyu demu"
Lugha inatafsiriwa kutokana na mahali ilipotumika!Nakupenda/nakukubali fragaria
Asante/nashukuru fragaria
Tofauti Kabisa Yaani
Kwani dictionary inasemaje?
Ooh sawa, ila kutisha, we ni noma ni lugha ya mtaani zaidi, haipo officiallyLugha inatafsiriwa kutokana na mahali ilipotumika!
Mfano mtu anaweza akamsifia mtu lakini akasema " Aisee Smokey umetisha ! wewe ni nomaaaa"
Haimaanishi kuwa unatisha kweli kwa sura au vitendo.
So for the context ya jf like na thanks ni kitu kimoja
Ana mustachi..🤣🤣🤣 Hapana chezea taste za wanaume wa huko!huo utafiti wa kumfanya binti awe top
View attachment 1105362
Lugha hukua!Ooh sawa, ila kutisha, we ni noma ni lugha ya mtaani zaidi, haipo officially
Mmhhh.. hilo pakacha!