Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Hahaha duh mpo wengi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah walishasahau
Nilishatembelea humo ndani jamaa wapo vizuri sana yani kama hawaishi mkoa wa ShinyangaUnaambiwa Mwadui wapo vizuri kwa kila kitu,licha ya kuwa na umeme wao na mara nyingi unatumika pale umeme wa Tanesco unapokata,
Pia wana idara ya Maji,haya ni baadhi ya manteki yanasombaza maji safi na salama ndani ya makazi ya mgodi wa MwaduiView attachment 1105624