Piano napenda mno
Unaweza kucheza Piano?Piano napenda mno
Siwezi japo niliwahi kujaribuUnaweza kucheza Piano?
Salama brotherSalaam bi dada
Bdo unaweza kuendelea kujaribu, si ngumu sana.Siwezi japo niliwahi kujaribu
Nina rafiki yangu Filipino anapiga hiyo piano mimi siwezi mikono yangu mizito hiyo inataka haraka unanyanyua vidole.Bdo unaweza kuendelea kujaribu, si ngumu sana.
Wataratibu tupo wengi humu
Nina rafiki yangu Filipino anapiga hiyo piano mimi siwezi mikono yangu mizito hiyo inataka haraka unanyanyua vidole.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hasa kwenye uhondo wenyewe,coco ake fragaria anatakiwa kuwa mjanja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kujihami lazma bro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daah!
Umemuona adui kabla hajakuona
Kweli Bro[emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23]
Tudei izi yuadei