Sis, umebadili jina?Mimi mzima sweetheart. Vipi habari za huko ulipo?
Mgonjwa pia ana "haki" zake ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1106371
[emoji23][emoji23]
Mtanange ule wa FBI na Apple kufungua simu ya mtuhumiwa tena wa mauaji FBI ilibidi mpaka waombe msaada wa Israeli kiifungua simu ya mtuhumiwa. Wenzetu wanasimamia kanuni na sheria...Ni kosa kisheria.
Makampuni ya simu za mkooni yanafanya makosa kutoa taarifa za wateja bila idhini ya mteja.
Hata kama anachunguzwa ni muhimu apewe taarifa!
Whats app, Instagram na Telegram hawana huu ujinga hata aje nani!!
Nakusalimia Cookie.Sijambo pia
Sema bro. Za masiku?
SYB aka Ngosha the Don (in Esta/Prisca's voice) is indeed back [emoji16][emoji16][emoji16]SYB is back
Habari yako bro, umeamkaje na vp uchovu wako kutoka chimbo?
koromije mwenzio soon utaanza mdai davet ng'ombe[emoji125]Nakusalimia Cookie.
Mimi SYB mtunza kumbukumbu wa uzi huu.
Nilikuwa likizo kidogo na sasa nimerejea kazini.
Karibu sana !!!
Tayari nipo hapa ofishale. Kwema huko kwako?Bro umerudi karibu sana
Ndiyo nimeanza harakati hivyo nipenyeze usis kwanza. Mbona unataka kuniharibia tena?koromije mwenzio soon utaanza mdai davet ng'ombe[emoji125]
Naumia tu kuwa sitakaa nile ng'ombe zako dah [emoji24][emoji24][emoji24]koromije mwenzio soon utaanza mdai davet ng'ombe[emoji125]