myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
sawasawa..ilipaswa mwanamke akitoka kujifungua apewe miaka miwili alee mtoto wake baadae na yeye atumikie kifungo kama mwanamume.
cha ajabu mtuhumiwa amekiri wamefanya mapenzi mara nne, ina maana binti alivutiwa na shughuli ya bwana mdogo kiasi ambacho alisahau hata kumwambia jamaa ajifunge mfuko wa rambo kama kondomu hana.Wanaamini mwanamme ndio mwenye kumshawishi mwanamke lakini kumbe ata wanawake wanatushawishi sana
😂😂😂cha ajabu mtuhumiwa amekiri wamefanya mapenzi mara nne, ina maana binti alivutiwa na shughuli ya bwana mdogo kiasi ambacho alisahau hata kumwambia jamaa ajifunge mfuko wa rambo kama kondomu hana.
empty set
[emoji120][emoji120]Uwe na wakati mwema pia.
kama vita utaanzisha wewe, tunasubiria muheshimiwa raisi arudi na mikataba 50 ya kibiashara kutoka south afrikaWakuu wote humu mmeshindaje? Mie namshukuru Mwenyezi Mungu niko poa kabisa [emoji1431]
[emoji120][emoji120][emoji120]Amin, Inshaallah