D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Rais huyu mpya ama??View attachment 1106473
Mahakama kuu nchini Burundi na mwendesha mashtaka wa serikali wametoa amri ya kuzitaifisha mali za watu 41 wanaoikosoa serikali.
Watu ambao wameathirika na tamko hilo ni wanasiasa wa zamani, wanaharakati wa haki za kibinadamu na waandishi wa habari, pamoja na afisa wa jeshi ambao wamefungwa jela nchini humo.
Pierre NkurunzizaRais huyu mpya ama??