Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mke tu mtu unahama, ije iwe chama? Na mke ulichagua mwenyewe, hukuchaguliwa na wananchi.

Vivyo hivyo: mume tu mtu unahama, ije iwe chama? Na mume ulichagua mwenyewe, hukuchaguliwa na wananchi.

Kuhama chama ni haki ya mtu ya msingi kabisa ya kidemokrasia. Lakini kumbuka, kuvunja mkataba lazima ulipe.
 
Watu badala ya kumwomba Mungu wanamwamrisha. Mtumwa hawezi kumshauri bwana wake, sembuse mwanadamu kumwamrisha Mungu?

Mungu anasema katika Isaya 45:11, “Bwana, Mtakatifu wa Israeli, na Muumba wake, asema hivi; Niulize habari za mambo yatakayokuja; mambo ya wana wangu, na habari ya kazi ya mikono yangu; haya! Niagizeni.” Lakini je! Hivyo ndivyo Mungu anavyomaanisha?

Kwamba tumwamrishe yeye? Mungu anamaanisha tupeleke shida zetu kwake kwa sababu hakuna mungu mwingine isipokuwa yeye. Kama hatajibu, shida zetu hazitajibiwa.
 
Kwa sababu Isaya 45:9-10 inasema, “Ole wake ashindanaye na Muumba wake! Kigae kimoja katika vigae vya dunia! Je! Udongo umwambie yeye aufinyangaye; Unafanya nini? Au kazi yako, Hana mikono? Ole wake amwambiaye baba yake, Wazaa nini? Au mwanamke, Una utungu wa nini?”

Unaona? Mungu hawezi kuwa mtumwa, nasi hatuwezi kuwa Mungu. Mungu ataendelea kutuamrisha, nasi kupitia Roho wa Mungu tutaendelea kuomba kile Mungu alichopanga tupate.
 
Hakuna magonjwa. Magonjwa yote yamo akilini mwetu. Ukitaka kulithibitisha hilo nenda hospitali yoyote ya Dar kisha toa tangazo la sauti kwamba Al-Shabaab wako nje watalipua jengo zima kwa mabomu. Asilimia 95 ya hao unaosema ni wagonjwa watakimbia hadi Bagamoyo.
 
Magonjwa yote tunayoyaona watu wakiugua au sisi wenyewe tukiugua yako ndani ya akili zetu. Tunayaona nje, ya akili zetu, ili tuwe na uhusiano na magonjwa hayo, kusudi tuone ni wapi tumekosea, ili tujirekebishe kwa ndani. Kwa hiyo kama mtu anaumwa malaria ujue ndani ya akili yako kwamba malaria ni ugonjwa mbaya, na ujirekebishe kwa maana ya kujikinga na mbu wanaosababisha malaria. Hiyo ndiyo asili yetu. Hivyo ndivyo Mungu alivyotuumba na alituumba hivyo kwa manufaa yetu.

Ukiona mtu anaumwa au wewe mwenyewe unaumwa ujue ni ujumbe kutoka ndani unaokusihi ubadilike, uwe kama Mungu anavyotaka uwe.
 
Ni kweli zinatakiwa kufanyiwa marekebisho makubwa wanao demand katiba mpya wako sahihi tutaweka viraka vingapi
 
Lakini pamoja na hayo bado Mungu alimuadhibu Musa! Hakuingia Kaanani nchi walioahidiwa.

Somo zuri sana, nafuatana nawe.
 
Tehetehetehe
 
Aiseee hiyo kali
 
Wamefanyeje hao mpaka wakaweza kutokomeza Malaria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…