Nimemuona kwenye group letu la form 6 wanamwongelea wafanyakazi wenzake. Alikuwa kwenye hilo gari kapata ajali Kibaha huko...Huyo dogo ni nani kamanda
🤣🤣🤣 Chaliiii
Form 6 eeh?Nimemuona kwenye group letu la form 6 wanamwongelea wafanyakazi wenzake. Alikuwa kwenye hilo gari kapata ajali Kibaha huko...
Nimemuona kwenye group letu la form 6 wanamwongelea wafanyakazi wenzake. Alikuwa kwenye hilo gari kapata ajali Kibaha huko...
Form 6 ya miaka ya 60 huko [emoji16][emoji16][emoji16]Form 6 eeh?
Zanzibar futari yake sio hiyo ya hapo lakini!
Najua ni chochote.. kuna kipindi nilikaribishwa futari Uturuki nilirudi nikaagiza take away ya Vipsi kuku! sikushiba hata!