Zuri kwa kubandika kichwani
π πKila data zipo...
Ule mkono, risti za Nyegezi na zinduzi zote mbili data zipo. Ni wewe tu na roho yako tu bro... [emoji16][emoji16][emoji16]
Kichwani tena?Zuri kwa kubandika kichwani
ππππ wewe Mtoto bhana
Eee steaming safi kabisa..afya kwa nyweleKichwani tena?
Akhu babu weee,muhenga miee hahahaππππ wewe Mtoto bhana
Aah! Kumbe mambo yenu ya uremboEee steaming safi kabisa..afya kwa nywele
Hahahah wee kijana hahaha naanza na njia ya home hioπ π
Kuna siku Prisca aliweka picha yake halisi humu alafu akaifuta hakuna alieona zaidi yangu maana ilikua ni usiku sana. Sasa ungekuepo naimani ungekua na kumbu kumbu yake
Mmh! Unatumia uhenga kama passwordAkhu babu weee,muhenga miee hahaha