Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha, andaeitini kwenye ubora wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Cc, Andaeitini wote wa uzi huu
Umeona hapo juu Davet kasema kazaliwa 1995 wakati Lyatonga anamtingisha Nyerere. Humu aisee tunazozana na wanetu wa kuzaa kabisa aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Duuuu, kamanda unatisha.
Hebu fanya kweli PM Kiongozi
 
Hahahahahahahahaahhaaha.
Kamanda hapo kama nakuona unavyojibana bana angalau uliguse guse jimama [emoji23][emoji23][emoji23]teh teh teh
View attachment 1109721

Halafu kumbe mlinisema kwenye hii picha wakati sipo na Moud ndiyo alikuwa mzee wa mjadala. Eti kama ni SYB atabanana hapo hapo mpaka kieleweke. Hamfai [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…