Dangote amewahi kuwaoa wanawake wengi ingawa habari kuwahusu wanawake wanaohusishwa naye huwa vigumu kuzithibitisha.
Ana watoto watatu walioorodheshwa rasmi, maarufu akiwa ni Halima Dangote aliyefunga ndoa mapema mwaka huu katika sherehe ya harusi iliyohudhuriwa na watu mashuhuri duniani akiwemo mwanzilishi wa Microsoft bwanyenye Bill Gates na Rais wa zamani wa Tanzania Jakaya Kikwete. Watoto hao wengine ni Fatima na na Mariya.
Yeye ni Mwislamu na dini yake inamruhusu kuwaoa wake wengi. Hata hivyo, licha ya kuwa na wake wengi taarifa zinasema hajawahi kuwa na zaidi ya mke mmoja kwa wakati mmoja. Kwa sasa, watu wamekuwa wakimchukulia kuwa asiye na jiko.
Aliko Dangote ndiye mtu tajiri zaidi mweusi duniani na mtu tajiri zaidi Afrika.
Alianzisha kampuni ya Dangote Cement na bado ndiye mwenyekiti wa kampuni hiyo. Dangote Cement inaongoza kwa kutengeneza saruji Afrika.
Dangote pia anamiliki kampuni za sukari, chumvi na za kusaga unga.
Kampuni yake ya Dangote Group inajenga kiwanda cha kusafisha mafuta karibu na Lagos, Nigeria ambacho kitakapomaliza kujengwa mwaka 2019 kinatarajiwa kuwa kikubwa zaidi cha aina yake duniani. Kiwanda hicho kitagharimu $9bn.
Dangote amehifadhi taji la kuwa mtu mweusi tajiri zaidi duniani akiwa na utajiri wa takriban $14.1 bilioni.
Vyema kabisa,wewe je?Umeamkaje?
[emoji120][emoji120]Salama..Na wewe pia
Kule Florida nako wanapambana na majoka yanaitwa Burmese Python. Haya yaliletwa kutoka Asia kama pets ila sasa yanakula kila mnyama mzawa mpaka yanakaribia kubakia menyewe tu. Ukibahatisha kuliua limoja unapatiwa zawadi mpaka $2,000 kulingana na ukubwa. Jamaa wanamiminika huko kwenda kupiga hela....Kuna mitaa ukipita huko uswazi uswazi au maeneo kama bahari hii kitu ni kero kweli, kama substitute yake inapatikana itakua poa sana.
Huko Australia nao wana kampeni yao ya kuua mapaka na Mbwa wa mitaani maana yanaonekana kua hatarishi kwa biodiversity
Habari yako mkuu!Pyaar
Vizuri piaVyema kabisa,wewe je?
Hahah! Wadau wanazama chimbo kupiga mpunga...Kule Florida nako wanapambana na majoka yanaitwa Burmese Python. Haya yaliletwa kutoka Asia kama pets ila sasa yanakula kila mnyama mzawa mpaka yanakaribia kubakia menyewe tu. Ukibahatisha kuliua limoja unapatiwa zawadi mpaka $2,000 kulingana na ukubwa. Jamaa wanamiminika huko kwenda kupiga hela....
Nami nilisikia hivyo. Wale kunguru wakorofi waliletwa sijui kutoka Pakistani huko ili waje wasaidie kula uchafu. Matokeo yake wakawafurusha wale wa kienyeji na kugeuka kero kubwa...Hahah! Wadau wanazama chimbo kupiga mpunga...
Nasikia hapa mjini Daslam miaka ya nyuma kulikua na Kunguru wengi sana mpaka ikawa kero ikabidi Manispaa waweke dau kwakila atakaepeleka vichwa vya hao viumbe. Hii habari ulishawai kuisikia au ni mtu tu aliamua kuninywesha chai?
Tena kwa wingi. Uzuri majoka menyewe hayana sumu. Ni constrictors na yanaua kwa kunyonga. Basi jamaa utawaona kwenye TV wamebebana nayo wanakwenda kulipwa. Kuna timu moja ya baba na mwanawe wanapiga hela balaa. Kuna siku waliyakamata 6 tena yote makubwa. Hapo ni $12,000 kwa siku moja [emoji16][emoji16][emoji16]Hahah! Wadau wanazama chimbo kupiga mpunga...
Nasikia hapa mjini Daslam miaka ya nyuma kulikua na Kunguru wengi sana mpaka ikawa kero ikabidi Manispaa waweke dau kwakila atakaepeleka vichwa vya hao viumbe. Hii habari ulishawai kuisikia au ni mtu tu aliamua kuninywesha chai?