Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unachanganya madesa...out of context kabisa...

Wewe ukiamua kuchukua dada wa watu tayari umo ndani ya presha (ya kulipa mahari); na ukiwa ndani ya kitu ina maana umo. Huwezi tena ukaanza kulalamika...
There is no way nichanganye madesa or may be hujanielewa tu.

Ni sawa kutoa mahari, ni sawa pia kujibu kila swali la msingi kukuhusu hasa kutoka kwa jamii yako ama familia. Mf. "Unaoa lini" ni swali la msingi sana!

Ni muhimu kutoa majibu kwa maswali ya msingi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…