andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji1][emoji1][emoji1]haya Shemeji uwe na siku njema.You da man...
Hili jamaa linanimalizaga sana...
Thenki yuuu [emoji16][emoji16][emoji16]
Acha niwahi zangu kwenye mishe zingine...
[emoji1][emoji1][emoji1]haya Shemeji uwe na siku njema.You da man...
Hili jamaa linanimalizaga sana...
Thenki yuuu [emoji16][emoji16][emoji16]
Kama ulijua vile 😃Ahsante kwa tabasamu naona ulisubiri nikumiss hapa😬😬😬
99.99% possibility ipo [emoji16][emoji16][emoji16]Haha SYB bwana, [emoji28][emoji28][emoji28]
Tunafanyia service taratibu!Injini goroli...kona ya Bwiru...
Haya wafikishie salamu zao. Msalimie Mwenyekiti wenu The One and the Only one Amun Ra...[emoji1][emoji1][emoji1]haya Shemeji uwe na siku njema.
Acha niwahi zangu kwenye mishe zingine... View attachment 1110775
[emoji125][emoji125][emoji125](utadhani nimeulizwa mimi nilivyo na kiherehere) Ile labda ya tokotokotoko[emoji444][emoji443][emoji445][emoji444][emoji443][emoji445][emoji445][emoji443][emoji445]Injini ipi Mkuu?
Hapo sawa....Tunafanyia service taratibu!
Usinikumbushe kipindi kile cha raha mustarehe katika uzi huu. Hakitakaa kijirudie .Tokotokotoko bro bana
😀Hapo sawa....
"...hapo hapoooo usihame...Kuna vigoroli unavigusa. Uwiiiii leo unanipatia kweli..." [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji16]
Mwenzio yupo kwenye mfungo bro[emoji2]"...hapo hapoooo usihame...Kuna vigoroli unavigusa. Uwiiiii leo unanipatia kweli..." [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Zilipendwa mliinjoy eeh?.. mpaka kuwe na uzi mpya uje kivingineUsinikumbushe kipindi kile cha raha mustarehe katika uzi huu. Hakitakaa kijirudie .
Ana hatari sana huyu KakaMwenzio yupo kwenye mfungo bro[emoji2]
Mh"...hapo hapoooo usihame...Kuna vigoroli unavigusa. Uwiiiii leo unanipatia kweli..." [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hahaha bro banaAna hatari sana huyu Kaka