Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha, Fragaria ni muhenga wa kitambo sana[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Huwa naota nipo shule tena kama sio primary basi sec either olevel au alevel
 
Mara mbili Andy Cole alijikuta katika nafasi nzuri ya kufunga ndani ya boksi ya Bayern lakini Kahn akawa makini kuutoka mpira na kuupangua. Kwa upande mwingine, nusura Basler afunge tena kwa mpira wa adhabu. Staa mwingine wa Bayern, Alexander Zickler pia akapiga shuti lililokwenda nje ya boksi. Baadaye Ryan Giggs naye akapiga kichwa hafifu kilichodakwa na Kahn.
 
Kipindi cha pili

Kipindi cha pili kilianza kwa kasi huku Schmeichel akilazimika kupangua mpira wa kichwa wa Jancker katika dakika ya kwanza tu ya kipindi hicho. Basler akaendelea kuwa mchezaji bora zaidi kikosi cha Bayern akipiga shuti la mita 30 lililochezwa na kipa na baadaye akapiga pasi murua kwa Babbel aliyeukosa mpira kizembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…