πππHata Mfalme wa kuzinduliwa huwa anapoteaga kwanza. Akiusoma mchezo na kuona upepo umeanza kupoa kidogo ndiyo huyooo anakuja kujibaraguza baraguza. Halafu hamjakaa sawa uzi wa uzinduzi unafutwa...
Siku Yego naye akizinduliwa aisee sipati picha [emoji16][emoji16][emoji16]
Nashukuru, vipi lakini umeamka salama?Nafurahi kusikia hivyo,
cristiano ronaldo nitampa nafasi kama timu yangu imejengwa kwa mpira wa kihuniDakika ya 80' ushapigwa goal 1 game ya final,benchi una wakali wawili Messi&CR7 utamuingiza nani apindue matokeo?View attachment 1111030