Haki ya nani leo umenipotea πnilijua member mpya humu, kama nilivyokuambia nakutambuaga kupitia avata tu. Leo ndio nimesoma jina lako kwa umakinicristiano ronaldo nitampa nafasi kama timu yangu imejengwa kwa mpira wa kihuni
kama nacheza total football nitamchagua messi la pulga
π π π im sorry brother kwa kukupotezaHaki ya nani leo umenipotea πnilijua member mpya humu, kama nilivyokuambia nakutambuaga kupitia avata tu. Leo ndio nimesoma jina lako kwa umakini
duh!! hajapata pa kwenda tuKocha wa Derby, Frank Lampard alisema hataondoka katika kikosi hicho kwa kuwa ana mapenzi na klabu hiyo.
Nauli ipo bro ππ π π im sorry brother kwa kukupoteza
hivi nauli ya kurudia nyumbani unayo?
Davet mzee baba unaendeleaje leo Jana uliandika hauko OKNauli ipo bro π
umesema nimekupoteza kwa sababu ya avatar yangu.Nauli ipo bro π
Sikupi like why uandike hivi eti mpendwathread zingine bhana sijui ni akili bhangi
chukua like ya bure ikuongezee nguvu ya kumwaga mapovu kwa thread mbovu zilizopo jfthread zingine bhana sijui ni akili bhangi
Ila kweli avatar yako mmmhumesema nimekupoteza kwa sababu ya avatar yangu.
ina maana iyo safari yako umetembea kwa miguu?
πππ
mara yangu ya kwanza kuweka avatar ya mwanadamu ambaye si mkorea tokea nijiunge jf kama nitakuwa nipo sahihiIla kweli avatar yako mmmh
Sasa huyo akiwa karibu na mimi mweupe mimi ni zaidi ya huyo ππmara yangu ya kwanza kuweka avatar ya mwanadamu ambaye si mkorea tokea nijiunge jf kama nitakuwa nipo sahihi
masai baby.
kuna watu mungu amewaumba weusi sana kama makaa ya mawe (mungu nisamehe kwa kuingilia uhuru wako)
lakini unaweza kuwa mweusi kama chungu kilichopikiwa lakini ukawa unavutia kisura na matendo.Sasa huyo akiwa karibu na mimi mweupe mimi ni zaidi ya huyo ππ
Inawezekanalakini unaweza kuwa mweusi kama chungu kilichopikiwa lakini ukawa unavutia kisura na matendo.
Nipo fresh kabisa nashukuru Mungu kanisimamia, vp wewe umeamkaje?Davet mzee baba unaendeleaje leo Jana uliandika hauko OK