Usikonde broNakutesaga sana bro. Ila kuna kuna kafuraha fulani hivi huwa napataga. Nisamehe bro [emoji16]
Vipi hedeki ya jana imeachia?
Safi kabisa. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Usikonde bro
Jana nilikimbia hospital bhana na Mungu akawapa wataalamu uwezo wa kunisaidia hivyo nipo sawa sasa
Sawa tu. Timu TECNO nasi ipo siku yetu tutajikomboa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1111237
Nakaziaaaaaa !!!![emoji125][emoji125]Shwaiini zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The real nduli. Wengine photocopy tu [emoji16][emoji16][emoji16]Field marshallView attachment 1111286
Sure..M7 anatshwa na katoto kabob wine anajamba jambaThe real nduli. Wengine photocopy tu [emoji16][emoji16][emoji16]