myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Haya mambo ni magumu. Kamanda kanyunyizia magazine nzima...AK 47 inapokosa kazi..View attachment 1111741
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Kuvunjiwa iPhone noma eeeh!? TECNO mbona kawaida tu?[emoji41][emoji41]View attachment 1111744
Ni usiku na Fragaria kalala bila shaka....Mamba, aka Mhando,aka Muyombo, aka Runyasi, aka Koboko.
Jini asiye na Huruma[emoji116][emoji116]View attachment 1111745
😂😂😂😂Huyu na Davet ndiyo kwanza wako festi yia. Ngoma bado mbichi kabisa...[emoji16][emoji16][emoji16]
Nakwenda hapo kupiga chaki Novemba waombe sana nisiwafahamu. Nikiwafahamu aisee itakuwa msala wa kufa mtu. Niko tayari kuchomea kwa malekichara wao wapigwe sapu kidogo ili akili ziwakae sawa. Siyo mtu unakaa unazinduliwa zinduliwa au unaongoza TRM halafu upate A darasani. Shwaiiini kabisa !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
Bado upo?Hello