Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Album ya Vunja Mifupa iliyotoka mwaka 1997 ilichukua soko kubwa la mauzo hususani Afrika ya Mashariki ikizingatiwa Ujumbe unatolewa kwa lugha ya Kiswahili. Virunga Roots Volume 1, ulijumisha nyimbo zilizo katika kumbukumbu Virunga na kutolewa mwaka 2005.
 
Samba kwa kawaida ni mpole na mcheshi, mwaka 2000, alialikwa kwenye Sherehe ya siku ya Jamhuri ya watu wa Kenya katika jiji la London, ambapo muziki waliopiga ‘uliwachengua’ watu wote waliofika katika sherehe hiyo. Mzee wa ‘Vunja Mifupa’ Samba Mapangala alikuja Tanzania mwezi Mei 2004 kwa ziara ya wiki mbili na kufanya maonyesho kadhaa.
 
Naam ni kutokana na hali ya majonzi na upweke wangu...ninayoyapitia only God knows...so kwa kiwango kikubwa ina reflect maisha yangu ni hivyo tu mkuu.
Kulia hakusaidii kitu .. sanasana unazidi kujiumiza tu.. Maisha ni jinsi wewe unavyoyataka yawe.. So kuna misukosuko ..fine all of them will pass and life goes on..
No one said it is going to be an easy ride on Earth...
Kila mtu ana mitihani yake tofauti so jinsi tunavyoikabili na kureact mitihani hiyo inapotokea ndio tunatofautiana..

So wipe your tears BabyBrother there is so much more to this world to enjoy than the few mishaps you encountered....

Jamani wadaka chozi mpo humu?
 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Kamwene simuonei huruma mpaka abadili kauli ya kuwa na mpenzi katoto ka miaka 12
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…