Nashukuru Mungu..ππ
Hujambo?
Alisema ana kapenzi katoto kana miaka 12? Na yeye yuko 18+?Kamwene simuonei huruma mpaka abadili kauli ya kuwa na mpenzi katoto ka miaka 12
Heee! alisema ana 12 year old gf? but ukute yeye he is 13!Kamwene simuonei huruma mpaka abadili kauli ya kuwa na mpenzi katoto ka miaka 12
Ndio alisema.Yeye la kwanza ameanza 2005 hivyo miaka yake anaijua mwenyewe ila kukaharibu katoto ka miaka 12 haikubalikiAlisema ana kapenzi katoto kana miaka 12? Na yeye yuko 18+?
Am glad Babe',..Indeed....how have you been my love? Nimeipenda avatar [emoji7][emoji7]
ππππMfungo si unaisha wiki kesho?
Mi mtunza kumbukumbu nitakumechisha vizuri tu wala usiwe na shaka [emoji16][emoji16][emoji16]
Vipi bro kwema?Am glad Babe',..
Sijambo habari ya siku yako? Pole na majukumu mpenzi wangu.
Hehehehe wewe kijana duhππππ
Natamani uniambie utanibariki nani ila Prisca nimeona kareact kwa kucheka sanaaaaaa, kausha tu usiseme
So nyie malasti boni edukesheni za kuungaunga eeh?
Hii Avatar yako inafanana ya The Happiness kwa mbaliππUtanifanya niirudishe avatar yangu ya permanent...
Kama alianza la kwanza 2005 ina maana he is 18+; na kama kweli ana katoto ka miaka 12 anakaharibu basi ni pedophile tu na anapaswa kupigwa mvua 30+. Usije kuta ni Karma imeanza kufanya what it does best...Ndio alisema.Yeye la kwanza ameanza 2005 hivyo miaka yake anaijua mwenyewe ila kukaharibu katoto ka miaka 12 haikubaliki