Niko poa sanaNashukuru Mungu..
U mzima?
Aiseee so sadKama alianza la kwanza 2005 ina maana he is 18+; na kama kweli ana katoto ka miaka 12 anakaharibu basi ni pedophile tu na anapaswa kupigwa mvua 30+. Usije kuta ni Karma imeanza kufanya what it does best...
ππHehehehe wewe kijana duh
Aisee mimi nimesoma yote na nimezoom thumbs hapa!
Prisca namwogopa sana kwa sababu hatabiriki hasa kwenye matani ya aina hii. Inategemea siku hiyo ameamkaje vinginevyo mtu unaweza kujikuta unachezea vitasa vya kutosha. Ndo maana nimeishia kukausha tu...But if you know you know [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natamani uniambie utanibariki nani ila Prisca nimeona kareact kwa kucheka sanaaaaaa, kausha tu usiseme
Hahaha wanagombania nini?
Siye tuko vizuri sana...kwenye sekta zingine...So nyie malasti boni edukesheni za kuungaunga eeh?
Hahaha.. dawa ya wabahili ni fupi tu!
Mali ya watu hiyo. We zoom zoom tu shauri yako. Wenyewe wakija si ajabu baba wa watu akaishia kuambiwa tena kubadili avatar ili aweke ambayo thumbs hazionekani [emoji16][emoji16][emoji16]Aisee mimi nimesoma yote na nimezoom thumbs hapa!
View attachment 1113246
Kwani ni lazima mpewe pesa?Hahaha.. dawa ya wabahili ni fupi tu!
Labda wanandoa waliopunjana usiku wa pipiiiiHahaha wanagombania nini?
Hiki ni kicheko cha amani au rabsha?Hehehehe wewe kijana duh
Hivi sio the other way round?Siye tuko vizuri sana...kwenye sekta zingine...
Prisca namwogopa sana kwa sababu hatabiriki hasa kwenye matani ya aina hii. Inategemea siku hiyo ameamkaje vinginevyo mtu unaweza kujikuta unachezea vitasa vya kutosha. Ndo maana nimeishia kukausha tu...But if you know you know [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
πππ Dah ikifikia huko!Labda wanandoa waliopunjana usiku wa pipiiii