😁😁😁Ha hah
Usifanye hivyo Buana 😀
Nasubiri Mfungo uishe tukubariki kabisaa!
Salama bro, hofu kwako.Bradha, mambo vipi Bro?
Hapa niko poa kabisa Bro,Salama bro, hofu kwako.
Wkend inaanzaje hapo.
Yanga haoLeo utatutambua..View attachment 1113514
Ramadhan ikiisha patakua hapatoshi hapa.Ahadi zimekua nyingi 😀😀😀Nimefanya ku-screeshot nasubiri ramadhan iishe 😀 😀
Wewe na mwenzio mnafahana kweli yani😬😬😬
Ndio buana, tarehe nzuri hizi.Hapa niko poa kabisa Bro,
Naona mambo si mabaya pia kwa upande wako hapo!
Yanga hao
Dunya? Ni nini maana yake?
Amen!!Daku time,tukumbuke ni wiki ya mwisho ya mwenzi wa Ramadhani hatuwezi jua kama mwakani tutakuwa hai tena mda ni huu kuomba Sana kwa Allah atusamehe dhambi zetu, atufungulie ridhiki katika kazi zetu.