Usijali mpendwa nakuahidi kama hili ni Jina lako halisi nitalitaja ishaalah kwenye dua.Amen!!
Nikumbuke ktk sara zako tafadhali.
Oh! Ujumbe mzuri sana..Dunia. π
yaani tafsiri yKe ni "hii Dunia si chochote bali ni Uchafu (Mchanga)... Dunia ipo chini ya Nyayo zetu kipindi cha Uhai wetu.. Na tunapokufa Dunia inakua juu ya miili yetu (Maiti Kaburini)
Ha hahUsijali mpendwa nakuahidi kama hili ni Jina lako halisi nitalitaja ishaalah kwenye dua.
πππππUnanipa mtihaniHa hah
Yea Mungu anajua hakuna mtu mwingine ana ID kama hii JF isipo kua mimi, Please do.
Oh! Ujumbe mzuri sana..
Karibu sana Min 92.
Nafurahi kukuona hapa pamoja nasi π
Tafadhari karibu!
Ahsante pia kwa tabasamu πAhsante sana Capital cool πβΊ nishakaribia
Wala usipate tabu, Ananifahamu kwa vyovyote utakavyo eleza.πππππUnanipa mtihani
Ila wew kaka mchangamfu Sana Mungu akubarikiWala usipate tabu, Ananifahamu kwa vyovyote utakavyo eleza.
Dah nimeikubali jamaniii Kuna watu wanaishi sio sisi wengine
Ahsante pia kwa tabasamu π
Ukihitaji namna yoyote ya maelekezo usisite tafadhali.
Jiskie huru.