mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahaha itachukua muda sana Afrika kuchukua WC gold MedalWakati wa hilo tukio niliona aibu mimi nikatamani nibebe tv nikatizamie chumbani japo ata hapo sebleni nilikua mwenyewe
Aibu sanaJana kituko huko mpaka Rais wa shirikisho ikabidi nae aingie kiwanjani
Sawa mamii nimekupaRelax Hawachi napenda Sana utani [emoji3][emoji3][emoji3]
HahahaTotenham win[emoji41]View attachment 1113695
Nimeona.Mimi naona goli la jamaa lilikua halali kabisa yani basi tu mwamuzi ndio mwenye jina lake
Fanya kucheck bro
Wacha niangalia highlights nami nione ukweliNimeona.
By the time anapewa pass hakua amezidi.
Kwani hujui kuwa nna matatizo?Fraggy una matatizo!
0Hivi huyu dogo ana matatizo gani huyu? Mbona anaropoka ropoka sana? Anadhani kuwa haya madaraka atakufa nayo?