Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
😁 jana nimemuombea Moudy.. nikasema Moudy, Mohamed, sijui Moudgulf... I hope atabarikiwa!Ukitaja Capitalpool dua inafika kabisa maana nia yako inajua nani umemlenga
😁😁Una busara sana sometimes. Sema tu ni yale mambo ndo huwa yanakukunguwaza. Ila sikulaumu bro. Ni lazima uyapitie ili huko mbele ya safari usije ukatupa shida [emoji16][emoji16][emoji16]
Discipline! Discipline
🙏🙏 Amin!😁 jana nimemuombea Moudy.. nikasema Moudy, Mohamed, sijui Moudgulf... I hope atabarikiwa!
Mbona hawafanani
Yule mwingine umemuona? Una macho mazuri sana !!!Mbona hawafanani
😁Yule mwingine umemuona? Una macho mazuri sana !!!