Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wapi huko?
Askofu Ng'ang'a wa Kenya kachapiwa mke na askofu mwenzake amepaniki balaa. Kuna video inazunguka akichimba mkwara hevi kwa maaskofu wa kanisa lake. Yaani kawatukana kila aina ya tusi. Picha ya mkewe ilipowekwa wengi wamemuunga mkono eti tu kwa sababu mkewe ni mrembo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Duh Maaskofu hadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…