Mshambuliaji wa Liverpool na Senegal Sadio Mane, 27, anasema alikaribia kujiunga na Man United baada ya kuzungumza na mkufunzi Louis van Gaal, kabla ya simu ya Jurgen klopp kubadili mafikra yake.. (Mirror)

Kabisa naona mawasiliano kati yao yamekatwa kabisa liver wanakabia juu sanaKane anatakiwa atangeneze juhudi binafsi wenzie wamebanwa kumfikia
Naona wamebana kila kona jezi nyeupe chache kuliko nyekunduKabisa naona mawasiliano kati yao yamekatwa kabisa liver wanakabia juu sana
The Gunners wamewasiliana na Leicester kuhusu uwezekano wa kumsaini kiungo wa kati wa klabu hiyo James Maddison lakini wamedaiwa kutaka kulipwa £60m. (Mail)
Barcelona ni miongoni mwa klabu zinazompigania mshambuliaji wa klabu ya Girona raia wa Uruguay 32 Cristhian Stuani, ambaye aliichezea Middlesbrough. (Marca)
[emoji23][emoji23][emoji23]mizimu inafanya kazi naonaLiver ameniudhi leo. Siku ya pambano muhimu hivi kaamua kuja na mizimu na majoka ya mkewe. Lazima wafungwe kwa sababu hakuna namna.
Ha ha ha naona mambo kama ya mwalimu kashashaAaaah mambo gani haya