myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh!!AJ amekutana na tipwa tipwa tetema.
ngumi za siku hizi wanaume wanapigana round 7 lakini hakuna hata mmoja mwenye uvimbe usoni.
bora ufuatilie ngumi za mbuzi wazee wa kurushiana vichwa utastarehe
View attachment 1115297
Kweli kabisa pamoja na kipigo tulichowapa anfield bado tunamuheshimu sana Messiwazungu wanatushinda mpaka kwenye kuzungumza kwa kujawa kwao na nidhamu na heshima
Van Dijk: "I think Messi is the best player in the world. He should win the Ballon D'Or. So I'm not thinking of that.
But if I win, I'll take it. Messi should win it though. He is the best in the world, whether he's in the final or not."
Hahahahalabda anataka kuweka na picha ya mke wake kwenye noti
Bonge la mechiLiverpool will face Chelsea for the UEFA Supercup on 14th August in Istanbul.