Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

While at Campus you dated somebody's husband, now yr husband is dating some campus girl.

*Newtons third Law*... For every action, there is an equal and opposite reaction.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawe ulipitwa!
 
Hello premier league the best league in the world..
1,manchester city fa cup nd premier league winners
2 , Liverpool champions league winner
3, Chelsea Europer league winner
4, Tottnaham champions league final
5, Arsenal Europer league final
6. Manchester United watching all finals
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si mbaya! Liverfoools wamekaa zaidi ya Karne wanashuhudia tu 😬 😬 😬
 
Kama Mzanzibari, huu Muungano we mkuu unauonaje? Ufikie ukomo muwe huru, ubadilishwe au unapenda uendelee hivi hivi ulivyo?
hapana hapana kwa hatua tuliofikia haitokuwa sahihi kuvunja muungano wetu, kuna baadhi ya mambo muhimu yanayogiwa kelele kila siku na wazanzibar wa hali ya chini yanapaswa yafanyiwe kazi.

hata watu wa bara na wao wana malalamiko yao juu ya muungano wetu yanapaswa yafanyiwe kazi ili kurudisha uaminifu uliopelekea kupatikana kwa umoja wetu.

lakini nani anajali ikiwa wenye maamuzi ya nchi yetu ni watemi kutoka ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…