Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Liverfools?Si mbaya! Liverfoools wamekaa zaidi ya Karne wanashuhudia tu [emoji51] [emoji51] [emoji51]
Is this their nickname?
Liverfools?Si mbaya! Liverfoools wamekaa zaidi ya Karne wanashuhudia tu [emoji51] [emoji51] [emoji51]
Nimekupata sawasawa...hapana hapana kwa hatua tuliofikia haitokuwa sahihi kuvunja muungano wetu, kuna baadhi ya mambo muhimu yanayogiwa kelele kila siku na wazanzibar wa hali ya chini yanapaswa yafanyiwe kazi.
hata watu wa bara na wao wana malalamiko yao juu ya muungano wetu yanapaswa yafanyiwe kazi ili kurudisha uaminifu uliopelekea kupatikana kwa umoja wetu.
lakini nani anajali ikiwa wenye maamuzi ya nchi yetu ni watemi kutoka ccm
Kula kwa macho tyu!
cha kushangaza mzee wetu mwenye umri wa miaka 80 macho yake yamebarikiwa nuru kuliko vijana wenye miaka 15.Mimi ndiye mzee kuliko wote katika uzi huu; na ni kweli nina miaka 80. Karibu sana na natumaini kuwa utabakia hapa. Jisikie huru kuposti cho chote hapa ali mradi tu hakivunji sheria...
Mkuu mkuu. Macho kweli bado yanaona. Ajabu sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]cha kushangaza mzee wetu mwenye umri wa miaka 80 macho yake yamebarikiwa nuru kuliko vijana wenye miaka 15.
wala hahitaji VAR kufanya maamuzi
Wakaka hawaaliki humuu.. Karibu kwangu HawachiKaka zangu humu wachoyo mno hata karibu sikuukuu hamna jamaniii
😁😁😁Usijali juu ya hilo mualiko umepata hivyo usikubali mwaliko mwingine... InShaALah!
Barcelona inataka kumsaini mshambuliaji wa Atletico Madrid na Ufaransa Antoine Griezmann, 28, na mshambuliaji wa PSG na Brazil Neymar, 27. (Mundo Deportivo - in Spanish)
Barcelona inataka kumsaini mshambuliaji wa Atletico Madrid na Ufaransa Antoine Griezmann, 28, na mshambuliaji wa PSG na Brazil Neymar, 27. (Mundo Deportivo - in Spanish)
Juventus inajiandaa kulipa fidia ili kumnunua mkufunzi Maurizio Sarri kutoka Chelksea. . (Independent)
Juventus inajiandaa kulipa fidia ili kumnunua mkufunzi Maurizio Sarri kutoka Chelksea. . (Independent)
Beki wa Napoli mwenye umri wa miaka 25 na raia wa Albania Elseid Hysaj amethibitisha kwamba ana lengo la kuondoka katika klabu hiyo mwisho wa msimu huu, akiongezea kwamba anataka kushinda chochote katika mchezo wake . Ananyatiwa na klabu za Chelsea na Manchester United. (DigitAlb via Talksport)