Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimekupata sawasawa...
 
Mimi ndiye mzee kuliko wote katika uzi huu; na ni kweli nina miaka 80. Karibu sana na natumaini kuwa utabakia hapa. Jisikie huru kuposti cho chote hapa ali mradi tu hakivunji sheria...
cha kushangaza mzee wetu mwenye umri wa miaka 80 macho yake yamebarikiwa nuru kuliko vijana wenye miaka 15.
wala hahitaji VAR kufanya maamuzi
 
Beki wa Napoli mwenye umri wa miaka 25 na raia wa Albania Elseid Hysaj amethibitisha kwamba ana lengo la kuondoka katika klabu hiyo mwisho wa msimu huu, akiongezea kwamba anataka kushinda chochote katika mchezo wake . Ananyatiwa na klabu za Chelsea na Manchester United. (DigitAlb via Talksport)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…