Usiku mwema myUsiku mwema wapendwa
mwanza nyegezi
Wacha weeh!
Yaani huyu kamwaga mboga! Siri zote za kanisa kamwagaaa! Na kutukana juu!Video hii hapa. Natumia App na sijui kama itaonekana. Labda kwa wanaotumia browser. Askofu kapaniki balaa. Nasikia ana kanisa kubwa na lina satellite campuses nyingi zinaendeshwa na maaskofu wake. Satellite campuses hizi ndo anaziita vioski na anatishia kuwa anaweza kuvifunga vyote...
View attachment 1115300
Kaka u hali gani?
Ni poa Bro, unaendeleaje?Kaka u hali gani?