Hivi kwann huu uzi usingekuwa uzi maalum wa kupeana pesa?!
Ukikomenti kitu cha maana unapata muamala wako freeeesh! huh
Uwezekano wa Barcelona kumsajili mshambuliaji wa Valencia Rodrigo Moreno, 28, umeongezeka maradufu. (Sport - in Spanish)
Uwezekano wa Barcelona kumsajili mshambuliaji wa Valencia Rodrigo Moreno, 28, umeongezeka maradufu. (Sport - in Spanish)
Hiyo solar mkuu[emoji16]Solar au huu wa kawaida? [emoji16][emoji16][emoji16]
Acha mambo ya code basi bro. Sisi siyo mademu. Mambo ya kula ndizi tena? Sema tu ishu ieleweke bro [emoji16][emoji16][emoji16]Sawa bro kama umesahau ila hiyo ni kawaida kwa aliekula Ndizi
AiseeeUwezekano wa Barcelona kumsajili mshambuliaji wa Valencia Rodrigo Moreno, 28, umeongezeka maradufu. (Sport - in Spanish)
Anza kutoa wewe mkuuHivi kwann huu uzi usingekuwa uzi maalum wa kupeana pesa?!
Ukikomenti kitu cha maana unapata muamala wako freeeesh! huh
Eeeh! Ulijuaje, yani huyo ndo aliekwamisha😬Sasa TH...
Ina maana ndo tulishindwa kufikia muafaka ile ishu ya pairs za twins. Au ni King Davet anazingua?
Wazo zuri ngoja tusikilize mods wanasemaje juu ya hiliHivi kwann huu uzi usingekuwa uzi maalum wa kupeana pesa?!
Ukikomenti kitu cha maana unapata muamala wako freeeesh! huh
Kiungo Mholanzi Kevin Strootman, 29, amesema klabu yake ya Marseille inataka kumpiga bei. (Corriere dello Sport - in Italian)
Kiungo Mholanzi Kevin Strootman, 29, amesema klabu yake ya Marseille inataka kumpiga bei. (Corriere dello Sport - in Italian)
Hiyo ni nadharia tete (haipothesia) yangu...(Jokes, of course)...Eeeh! Ulijuaje, yani huyo ndo aliekwamisha[emoji51]