Hivi unakumbuka kuna siku ulikua unachoma nyama ukanitumia picha kama zawadi humu?Halafu ukiwanyima wanamaindi balaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nipo makin mnooo,hio picha ya kuokotaHivi unakumbuka kuna siku ulikua unachoma nyama ukanitumia picha kama zawadi humu?
Haha! Sasa Kwani natuma humu simpaka kule chimboHaya tuhamie kwenye beauty plus tuma tenaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah hujawah kosea kule[emoji23][emoji23][emoji23]Haha! Sasa Kwani natuma humu simpaka kule chimbo
Hukuna kitu kama hicho ile picha ni wewe kabisa siku hizo uliamua kuchoma nyama ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nipo makin mnooo,hio picha ya kuokota
Aah kule haina haja ya kukosea naweka tu kwa mapenzi yangu ya dhatiAaah hujawah kosea kule[emoji23][emoji23][emoji23]
Aaa weuweee[emoji23][emoji23][emoji23]naiamini simu yangu ina folder maalum za JF yaan haik[emoji23][emoji23][emoji23]oseagiHukuna kitu kama hicho ile picha ni wewe kabisa siku hizo uliamua kuchoma nyama ππ
Nayasubiria hayo mapenzi ya dhati yapande ntafaidi uwiii ukosee na ya gwaji [emoji23][emoji23][emoji23]Aah kule haina haja ya kukosea naweka tu kwa mapenzi yangu ya dhati
Na mimi nitafata huu utaratibu wako kwakweliAaa weuweee[emoji23][emoji23][emoji23]naiamini simu yangu ina folder maalum za JF yaan haik[emoji23][emoji23][emoji23]oseagi
Hahah! Unawaza ya Ngwaji boy tuNayasubiria hayo mapenzi ya dhati yapande ntafaidi uwiii ukosee na ya gwaji [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa si mpaka application au browser ikusaidie kuzichambuaNa mimi nitafata huu utaratibu wako kwakweli