Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji2][emoji2][emoji2]unanichekesha broSijalala bro. Nawaza viganja usiku kucha. Kama viganja tu viko hivyo, ikulu kwenyewe kukoje? Wakubwa wanafaudu indeed wallahi [emoji24][emoji24][emoji24]
Hebu rudia bro, mimi sijaona ujue 😂😂.😂😂 Daah! Itabidi niwe natenganisha mafolder ya pic sasa ipo siku nitaleta ugwajima humu
Tatzo wamepotelea hewani bro,kastory kameisha kiutata utataUkipajua huko "kule" kunakoongelewa na mimi nitonye bro...
Ndiyo lengo langu bro...[emoji2][emoji2][emoji2]unanichekesha bro
Afadhali usione. Usingelala kama mimi. Siku yako inaendeleaje bro?Hebu rudia bro, mimi sijaona ujue [emoji23][emoji23].
Ni kweli kabsa bro,tupo kwa muda tu hapa na tunaishi mara moja..Ndiyo lengo langu bro...
Maisha haya ni nini kama hatucheki na kufurahi?
Eid Mubarak njema bro !!!
Huku kwema. Uko bado kwa akina Budagala? Wanasemaje huko?Ni kweli kabsa bro,tupo kwa muda tu hapa na tunaishi mara moja..
Minalifaidhinnah bro!!
Kwema huko uliko bro??
😂😂😂 itakua alafu anasahau tuliomuwezeshaAu atakuwa amefanikiwa kule
Niaje mzee,,mitikasi vp huko??