Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20190604_052756_683.jpeg
 
Alikosea akaweka viganja vya bae wake (wa sasa). Coco akamuonya mapema mapema (sijui alijuaje) akakimbilia kuifuta picha ila mtunza kumbukumbu nilikuwa online makamera yangu yakawa yameshainyaka tayari. Wameongea weeee eti mtunza kumbukumbu hajaona mi nawacheki tu. Tena nikaaga kabisa kuwa nakwenda kulala [emoji16][emoji16][emoji16]

Kwa kuangalia tu viganja na nails mtoto ni mkali balaa. Nails ziko well manicured na mtoto ni mweupe na inavyoonekana ni mayai na mwili soft. Hail to his majesty King Dave [emoji122][emoji122][emoji122]
Hii post unaweza kuombea mkopo bank na ukapewa bila tatzo!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom