Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huku kwema. Uko bado kwa akina Budagala? Wanasemaje huko?
Kwema sana bro vipi upande huoNiaje mzee,,mitikasi vp huko??
Tupo sambamba bro,naipakua hii albamu hapa hapa!![emoji109][emoji109]
ππππSijalala bro. Nawaza viganja usiku kucha. Kama viganja tu viko hivyo, ikulu kwenyewe kukoje? Wakubwa wanafaudu indeed wallahi [emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23]nakuona bro,,unanijaza sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakua alafu anasahau tuliomuwezesha
Kwema bro,,shukrani sana!!Kwema sana bro vipi upande huo
powa pakua tu bro
hahahahahaha, katibu ana mambo mengi sana.Afadhali usione. Usingelala kama mimi. Siku yako inaendeleaje bro?
πππNakafatilia haka kastory[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]ninge banaNakafatilia haka kastory[emoji23][emoji23]
Huku tunaendelea vyema bro. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]hahahahahaha, katibu ana mambo mengi sana.
Aisee, siku yangu inaenda vizuri bro, sijui huko majukumu yanaendaje?
Pamoja bro hiki kijiji ni zaidi ya familiaKwema bro,,shukrani sana!!
Hii post unaweza kuombea mkopo bank na ukapewa bila tatzo!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alikosea akaweka viganja vya bae wake (wa sasa). Coco akamuonya mapema mapema (sijui alijuaje) akakimbilia kuifuta picha ila mtunza kumbukumbu nilikuwa online makamera yangu yakawa yameshainyaka tayari. Wameongea weeee eti mtunza kumbukumbu hajaona mi nawacheki tu. Tena nikaaga kabisa kuwa nakwenda kulala [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa kuangalia tu viganja na nails mtoto ni mkali balaa. Nails ziko well manicured na mtoto ni mweupe na inavyoonekana ni mayai na mwili soft. Hail to his majesty King Dave [emoji122][emoji122][emoji122]
Hahah huyo hacker kishakua chaka lako broHahaha hacker alikuwa anafanya kazi yake bro
Hilo halina ubishi bro..Pamoja bro hiki kijiji ni zaidi ya familia
msalimie wa upande wa pili kule
ππππ mtunza kumbu kumbu atakuanayo bro. DaahHebu rudia bro, mimi sijaona ujue ππ.