Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Huu uzi nmecheka comment za wakuu !!dah, yamenikuta...
Wakuu nna balaa hapa nashindwa nilitatuaje,,, ebana ,, nilikuwa katika mishe zangu za kibiashara katika mkoa wa jirani na nnapoishi na familia yangu, asa huku nilipoenda kuna kimchepuko nilikuwa nakimendea kwa siku nyingi sana ,, mtoto wa kitanga ameumbwa akaumbika, asa jana ndo ilikuwa mechi...www.jamiiforums.com
Nipo kamanda.
Vyuta tupo ..Yanga yarejeshwa michuano ya Klabu Bingwa 2019/20
JUMANNE , 4TH JUN , 2019
NA MWANDISHI WETU
Shirikisho la Soka Tanzania TFF limetangaz kuwa klabu ya Yanga itaungana na Simba kushiriki michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika msimu ujao.
TFF imesema kuwa taarifa hiyo imethibitishwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF, ambapo katika michuano ya shirikisho barani Afrika, Azam FC na KMC zitaiwakilisha Tanzania.
Hiyo ni kutokana na Tanzania kupanda katika viwango vya ubora wa vilabu katika miaka ya karibuni ambapo hivi sasa imekuwa katika nafasi ya 12, ambapo itapata nafasi ya kuwakilisha timu 4 katika michuano ya kimataifa.
Isome barua ya TFF hapo chini.
RIP Rehema!Huyu Dada amekutwa amefariki katika mazingira ya kutatanisha pamoja na yote dada huyu ndugu zake hawajulikani!Anajulikana kwa jina la Rehema Atanas Kidaye au Rose ,Na leo hii anazikwa na marafiki na majirani zake maeneo ya Mwananyamala..!! Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahala Pema peponi. Wote tuseme #AMEN #RIP 😢View attachment 1117539