Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Shwari bro, kwema?Niaje humu ndani
Heee! hukulala?Mnazidi tu kuniumiza roho. Sijalala jamani...Wakubwa wanafaudu [emoji24][emoji24][emoji24]
Huu uzi nmecheka comment za wakuu !!
🙆♀️UwiiiiNimeona mahali wanasema eti kauwawa. Dunia hii. Apumzike kwa amani. Aliyemuua naye siku moja atajibu. Ni suala la muda tu !!!
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]kitafika just muazime davet mbio zake anazotimuaga mida ya uzinduzi
Shwari kabisa,nikiinjoi movie za bae wa uzi wetu pendwa
Kuna jamaa kamshauri aPulizie dawa ya mbuMie pia Mkuu nimecheka sana. Ndiyo raha ya JF watu wanapoamua kufunguka.
Malengo mbali mbali anayoyajua mhusika mwenyeweJF hii mhhh...
Hivi mtu anapoanzisha uzi wa aina hii anakuwa na lengo gani hasa?
Yeah, nimeisikia hii jana/juzi.Japokua wanajitetea hapakuwahi kuripotiwa hitilafu yoyote inayohusiana na hii hitilafu mpya ...Matatizo zaidi kwa hii midege mipya ya Boeing.View attachment 1117592
Hatari bro,JF hii mhhh...
Hivi mtu anapoanzisha uzi wa aina hii anakuwa na lengo gani hasa?