Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

🀣🀣🀣Hahaha...
Yaani mi nimekuta Coco kasema Mh! Halafu attachimenti hakuna...
Davet usitufanyie hivyo embu weka tu tuone!
Mawifi huwa wanalinda mali za mabradha tu!πŸ˜‰
Sipati picha wanaendana kabisa. Kwa deksripishen ya bro bint katulia vizuri,bwana kiduku nae yupo poa na suruali zake za mpasuko sijui panya wanafanyaga yao anasingizia fashen uwiiiii huu uzii umebeba mboga saba wa maana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…