ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Swadakta, tuko poa kbsandjul natumai u mzima pamoja na bibie nsamaka
Asante Carba. Kumekuchaje?Habari ya asubuh wapendwa
Kupenda cha mwenzako ni dhambi hiyo ni moja ya amri kumi za MunguNimeanza kumpenda huyo babe s siku nyingi mno!
Jukwaa hili nimesababisha kumuweka ndani ya roho,
Nazidi kumuombea Mr Mero adumu siku zote ikibidi mpaka karne ya 25.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Uniq anampenda sana shemejiye
Uniq njoo huku kuna mtu anakuita !!!
Yaani we acha nimeaga mara nyingi kuna mtu alitaka kuniambia neno naona akaghail hayo maago mengi nilikua namshtua ila naona akapotezea[emoji23] [emoji23]Na unatuaga mara nyingi
Lala mnono mama
carbamazepine mwanzo nilikuwa naona jina gumu ila toka ni....
Bila kunisahau mimi eeeeMkuu SHIMBA YA BUYENZE nakusalimu pamoja na jakitoo