miss kitongoji
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 662
- 625
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanasayansi kujichanganya tu. Ooh bao moja ni sawa na kutembea maili saba na ukizoea unazeeka mapema. Mara hii tena...Shwaiini!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanasayansi kujichanganya tu. Ooh bao moja ni sawa na kutembea maili saba na ukizoea unazeeka mapema. Mara hii tena...Shwaiini!
Tatizo nakuaminiMbona hujiamini hivyo lakini??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kubaki young sehemu gani ya mwili???
(Swali la kizushi)
Au mambo ya natural use na de-use[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Pqmbana
Kula likes kwanzaKwa kweli unatupa faraja sana tunavyoishi humu kama vile tunafahamiana kwenye maisha ya kawaida
Lala mama kama bado mfupi urefuke. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani mgao wa usingizi umerud kwetu
Kweli vile mfano ndo ningekuwa mm[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23]Ili upate sababu ya kuchepuka
Leo mpaka mida mibovu sio waasisiTatizo nakuamini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] siri za kambi hiziWapenda totoz ndiyo tabia zao hizo. Wana wivu balaa na kujishtukia sana. Hawana amani. What a life!
Na unatuaga mara nyingiUsiku mwema,tukutane tena kesho panapo majaaliwa...mbarikiwe nyote....
Nilikuwa namuona anavyorembulia keyboard acha apumzikeMate nilijua tunakesha wote
Kula likesUsiku mwema team likers
Charting njema ila msisahau like too like
Usilale kabla sijakuwish g9tJamani nna usingizi
Sawa pumzika ila usitupe adhabu na uzuri wakoJamani nna usingizi
Pambana kwa new species hizoMi kila siku napata sare kama nipo kwenye ngoma za kizaramo matokeo sijui nitapata lini mechi hizi ngumu sana..
carbamazepine anaelewa vizuriAgain, macho kodo! Why?
[emoji102]Huu mchezo hauhitaji hasira[emoji6][emoji6][emoji6]...tchaooo