myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawe piaSiku kuu njema kwetu wooote
Eeh humuhumu na wengine wabenefitHahah! Ushauri tunauombea humu humu bro?
Nawe tunakusalimu dearNawasilimia wana jukwaa,
Asante..Na kwako piaSiku kuu njema kwetu wooote
Kwajinsi picha lilivyokua haya maelezo ndio yana ukweli wa dhati kabisa...Nimekutania sana my young bro. Nafurahi kwamba hukasiriki. Ngoja niache sasa...
Na ukweli ni kwamba picha ile niliiona nikaipa like kuja kuusoma mchezo wakati ule nishaaga kuwa naenda kulala uliposema kuwa nitakuwa sijaiona. Nikarudi kufuatilia ili nihakikishe nikakuta umeshaitoa. Ila kichwani imo bado.
MarahabaaaaaaNawasilimia wana jukwaa,
Mpare alikuwa anatumia misuli sana kumdhibiti Baby wake. Walikuwa wakija kwenye uzi wote wawili na kuondoka pamoja. Alijaribu sana jamaa mmoja anaitwa sijui Big Baba lakini akakwama. Hatujakaa sawa Mpare katangaza kuwa keshapiga mtu mimba. Mchezo ukawa finito...Mpare pekee ndo walimshindwa na babe s wake
Ooooooopfuuuuuuu ofyuuuuu ofyeeeee jinsi unavyoshusha pumzi kwa amani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwajinsi picha lilivyokua haya maelezo ndio yana ukweli wa dhati kabisa...
Usikonde bro tupo pamoja
Goodnight sis [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji932]
[emoji38][emoji38][emoji38] ntafanyaje sasa na mimi ni andaeitiniMarahabaaaaaa
100%Kwajinsi picha lilivyokua haya maelezo ndio yana ukweli wa dhati kabisa...
Usikonde bro tupo pamoja
Haina shida bro tutawasilianaHumu au kwingineko...
Na ni kweli 2019/2020 Academic Year nitakuwa pale niliposema. Kama kweli uko hapo si vibaya tukafahamiana.
Mzima za kwako best,Idd Mubarak love[emoji120][emoji120]
Mzima Ma'am?