Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hakikisha chumba chenu unakifanyia usafi Uniq,Kupenda cha mwenzako ni dhambi hiyo ni moja ya amri kumi za Mungu
Tupo kamanda. Kwema?morning wana makinikia
Andjul kaingiaje hapo?Hakikisha chumba chenu unakifanyia usafi Uniq,
Andjul hana shida zamu yake ikifika.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hahahaha....si kwa mtiririko huo....asante thoughLeo babe s nakupa like kuanzia sasa mpaka usiku,
Sintotoa like kwa yeyote zaidi yako!
Unajua like hizi tunazipata kwa shida sana,
Lakini zote nitazigawa kwako tuuu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
MorningMorning tz
Yaani umenipa furaha ndani ya moyo wangu haha...hahaha..haaa!ho chi minh mzee wa ikwiriri vipi babe S ajambo?
Love is in the airKaribia kitandani luv
Sogeza kichwa chako kilaze kwenye kifua changu sweetie.
[emoji39] [emoji7] [emoji7]
Huo mshangao una excitement....ya kuwa fan namba 3 wa huo wimbo...Vipi mpendwa, huo mshangao kulikoni?