Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Upo mitaa gani bro? Kama vipi tokea pale Tabata (Micasa)Mkuu nipe location kaklab gn naweza kuenjoy Ed hii maana nazoend sijui mbovu
πππππ sasa huu ni utetezi bro?[emoji23][emoji23][emoji23]kwani uongo bro???ni kweli walisemalo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndani ya Kanzu pembeni Hijab noma sanaha ha ha,,kama unaniona navyopuyanga na hii kanzu eeh,,kama trafic haha
Au umemaanisha nn bro[emoji23]
Ndani ya Kanzu pembeni Hijab noma sana
[emoji3][emoji3]
Micasa,club 71,royal,Trinity, Livingstone, forty forty, the great ,ambiance, next door,defrance,savvana Darlive, naona pamepoa maybe kuna location nyingine pamechangamka tofaut na nlzotaja.Upo mitaa gani bro? Kama vipi tokea pale Tabata (Micasa)
Kwema bro,mambo vp pande hzo??Bro eeehe kwema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] man to man leo!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa huu ni utetezi bro?
Ndio maana leo nakesha humu
[emoji23][emoji23][emoji23]kama ndani ya Muscat vile..vile marashi yanavyonukiaNdani ya Kanzu pembeni Hijab noma sana
[emoji3][emoji3]
Eid ni njema namshukuru Mungu, karibu home bro tule Eid
Mzee wa Sisqo,,,nakuona[emoji2][emoji2]Hii nimeielewa
Kwema bro,mambo vp pande hzo??
ha ha ha usipime bro,kwa manukato haya T.A sihami[emoji23][emoji23][emoji23]Pande hizi powa Tu naona harufu mpaka naiskia huku
Aiseee bae wao kumbe unamiliki tumiguu tunneKanzu nyingi leo barabarani wanatisha mtu hutembei kwa amani unajua trafic
Aiseee inabidi ukatafute kozi kwa gwaji mwenzio anajisifia kabisa alivyo mtaalamu hahahahaππππ mnataka mnipe scandal chafu sio?
Leo nitashinda humu siku nzima
Salama bro,kwema huko??Bro ninge, habari za usiku.
IDDI MUBARRAK
Halafu sasa hio inayowaka ni shida wakati wa kuufinya unajitahidi isiache doa ili ukipata mualiko mwingine wasijue ushafinya sehemuHa ha ha umejuaje binti mpole,,kanzu inawaka hatari,leo zile salamu zetu za swaleku(wadigo) zipo za kutosha...
Karbu Luchelele uje ujilie pilau safi kabsa[emoji23][emoji23][emoji23]
Welcome mzee wa kikombe cha uefaNakuja ndio chakula changu pendwa