Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mbali na huyo Play Maker, Mimi code zimegoma kwa Mmarekani Mweusi na Server [emoji16][emoji16][emoji16]Kwa mara ya kwanza code imeshindwa kufunguka jamaniii eeee playmaker ni nani uwiii namuonea wivu kisa kafananishwa na ronaldo
Rolo Modomhhhhhh siamini kama compiler yako ya kuranisha program imegoma.
hivi kuna mwengine humu ndani zaidi yako mwenye sifa za CR7.
anafunga kwa kichwa, mguu,shingo, mbavu, kiuno.
na ndivyo ulivyo wewe kila eneo upo.
Hahahaha itakua ni wewe bae wa uzi wetuCode ngumu kweli ukijibiwa unitag
Hahahahha the don banaRolo Modo
Anonimazi foreva
Esta
Prisca
Play Maker
Binti Mpole
Timu Zari
Timu CR7
Salute [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
...Ngosha the Don [emoji16][emoji16][emoji16]
Mmarekani mweusi BAKMbali na huyo Play Maker, Mimi code zimegoma kwa Mmarekani Mweusi na Server [emoji16][emoji16][emoji16]
Iphone waaapiii,katecno banaWatakua wanafanya marekebisho tuwavumilie, ndio mchaj kabisa vi- iphone vyenu sasa
Hahahahha aiseee hadi kiuno kinafunga duh. Karoho kamesuuzika kufananishwa na HB ronaldomhhhhhh siamini kama compiler yako ya kuranisha program imegoma.
hivi kuna mwengine humu ndani zaidi yako mwenye sifa za CR7.
anafunga kwa kichwa, mguu,shingo, mbavu, kiuno.
na ndivyo ulivyo wewe kila eneo upo.
Hapo sawa.Mmarekani mweusi BAK
Jamani code ipo wazi tayari ila bado unanirushia Mpira mimi?Hahahaha itakua ni wewe bae wa uzi wetu
Ilikua bado haijafunguka hahahaJamani code ipo wazi tayari ila bado unanirushia Mpira mimi?
Aah! Basi nikajua unatumia simu zenu zile wadadaIphone waaapiii,katecno bana
Nimecheka sana aisee...
We Mkorea Mweusi mkorofi sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahah sawaIlikua bado haijafunguka hahaha
Jana wewe na Cole mlinifurahisha sana japo mlisingiziwa eti wivu [emoji16][emoji16][emoji16]Watakua wanafanya marekebisho tuwavumilie, ndio mchaj kabisa vi- iphone vyenu sasa