Weweeee...
Siku akikosea njia agongane na King Mswati mbona mwenyewe atakuja humu kuanzisha siredi ya kulalamika/kuzindua?
Hajui anachokitaka huyo. Kakutana na mstaarabu imekuwa nongwa...
Vidole vya mkulima wa nyanya navyo mnataka viweje tena jamani? Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]Mchango nitatoa, ila tunashida juu ya hivyo vidole[emoji85]
Hana sumuRUTASHUBANYUMA
Rais wa Shirikisho la soccer Africa(CAF) Ahmad Ahmad kuhojiwa na FIFA
Afrika na rushwa ni kama chanda na pete. Kila sekta tena rushwa zile za kijinga tu na kihayawani. Bara la ajabu sana hili wallahiAhojiwa na polisi wa Ufaransa kwa tuhuma za rushwa
Hhahahahahao waigizaji wa kizungu usiwaamini hata kidogo kwenye maisha yao ya asili.
kuna siku schwezneiger na mwili wake mkubwa alipigwa na mlevi aliyekunywa chupa 10.
Neymar Jr kutojumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa kuelekea michuano ya Capa America
Sawasawa na Kikoromije...Bimbilisamavi.
"Mzuungusha mavi"
Hii madini gani Bro?